Katika ukurasa huu, utapata watu kutoka katika mataifa tofauti, ambao unaweza kuwasiliana nao ili upate ufahamu zaidi kuhusu mradi, upate majibu ya maswali yako kwa kina, na/au uwe mwalimu wa Go-Lab. Kuna aina tatu ya majukumu:

1. National Expertise Centre | Kituo cha Kitaifa cha Ujuzi (NEC): Hili ni Shirika moja ndani ya Next-Lab Project Consortium, linalojukumika kwa kupatia walimu msaada kama vile ukufunzi wa Go-Lab na usambazaji wa maarifa katika taifa lililochaguliwa.

2. Balozi wa Go-Lab: Huyu ni mwalimu, anayejukumika kuwapatia walimu msaada, sawa na ukufunzi na usambazaji wa maarifa katika taifa lililochaguliwa.

3. Taasisi ya Ukufunzi kwa Walimu | Teacher Training Institute (TTI) : Hili ni shirika linalowapatia walimu ukufunzi wa masaa ya mapumziko au likizo katika taifa lililochaguliwa, likifanya kazi kwa kushirikiana na Go-Lab.

Tafadhali tumia vipengee upande wa kulia wa ukurasa kuchagua taifa lako, utapata nambari za mawasiliano. (Bonyeza kitufe "Apply" | "Tumia" ukishachagua taifa lako).

Filter

Silvana Ristevska

Go-Lab Ambassador, Republic of North Macedonia
ristevskas@yahoo.com

Stefano Macchia

Go-Lab Ambassador, Italy
bushstefan@gmail.com

Stella Magid-Podolsky

Go-Lab Ambassador, Israel
stella.magid@gmail.com

Svetla Mavrodieva

Go-Lab Ambassador, Bulgaria
svetla.mavrodieva@gmail.com

Wairimu Magondu

eLimu, Kenya

wairimu@e-limu.org

Zan-N'ké Beheton

Go-Lab Ambassador, Republic of Benin
zannke@gmail.com